Burudani
Video ya ‘Whoa’ ya Victoria Kimani ft. AY & Prezzo kutoka Feb 14, tazama kionjo hapa + aanzisha reality show yake
Muimbaji wa Kenya, Victoria Kimani anatarajia kuachia video ya wimbo wake ‘Whoa’ aliowashirikisha AY na Prezzo siku ya Valentine’s, February 14. Wimbo huo upo kwenye mixtape yake, Queen Victoria.
Wakati huo huo, mrembo ameanzisha reality TV show yake, Victoria Kimani: The Rise of the Queen.
“Hellllooooo Africa!!!!!!!!! This is SO Exiting!! Finally My very own Reality Series on STV Every Monday at 2pm and Every Thursday on TVC at 6pm!!!! The First Episode is tonight!!!! Tune in and see all the Crazy drama in My Pan-Afric musical Journey and meet my super cool Friends,”ameandika kwenye Instagram.