Habari
ACT wamtolea nje aliyejitangaza kuhamia CCM mbele ya Rais Magufuli
Chama cha ACT-Wazalendo wamtolea nje aliyetangazwa kwenye mkutano wa Rais John Magufuli kuwa ni Mwenyekiti wa ACT mkoa wa Pwani aliyeamua kurejea CCM mbele ya Rais Magufuli.
Soma taarifa kamili:
Na Emmy Mwaipopo