HabariMichezo

AFCON tunabahatisha, hatujui tunataka nini- Dominick Salamba

Mchambuzi wa soka @dominicksalamba ameweka wazi kinacho gharimu timu ya Taifa Stars ni kukosa mipango ya ushiriki kila msimu na badala yake inakwenda AFCON kwa kubahatisha.

“Mashindano yanapokwisha watu wanasikitika, hakuna kinachofuata mpaka itokee tena nafasi nyingine. Nikama tunakwenda AFCON kwa kubahatisha, hatuna Mipango mikakati.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents