Burudani

Arnold Schwarzenegger: Sikuwa na uwezo wa Kuigiza

Mkali wa Action wa Muda wote Gavana wa zamani wa California huko Marekani Arnold Schwarzenegger amesema hakuwa na kipaji cha kuigiza ingawa alikuwa na wakufunzi wengi akiwemo mwalimu wa sauti wa Lugha ya Kingereza na kuigiza hakuonekana kuwa na uwezo wa unaotakiwa kuigiza.

Amesema kilichomsaidia ni kwamba muonekano wake na hangaika yake ya kuongea kama roboti ndicho kilichokuwa kigezo muhimu kuigiza katika Filamu.

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents