Burudani

Paula Kajala: Baba alinimaindi sana (Video)

Mtoto wa P Funk, Paula amesema alipomueleza kwa mara ya kwanza Baba yake kuwa ana Ujauzito wa Marioo, alinimaindi sana.

Paula aliyasema hayo jana alipokuwa kwenye Baby Shower yake ambayo pamoja na kuhudhuria na mastaa mbalimbali alikuwepo pia P Funk.

“Nilipomueleza kwa mara ya kwanza kama ilivyo kwa wazazi wengine alimaindi lakini hata hivyo badae alielewa” alisema Paula.

 

Video kamili bonyeza link hapa chini:

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents