Habari

Arobaini ya hayati Magufuli, Kardinali Pengo amtembelea mjane Janeth Magufuli

Ikiwa leo ni Arobaini (40) ya kifo cha aliyekua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli, Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo amemtembelea Mjane wa Dk Magufuli, Mama Janeth Magufuli nyumbani kwake ambapo pia amemkabidhi zawadi ya sanamu ndogo ya Bikira Maria. #pumzikakwaamani #magufuli

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents