Michezo
Arsene Wenger amteua Mikel Arteta kuwa nahodha mpya wa Arsenal
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amemteua Mikel Arteta kuwa nahodha mpya wa Arsenal huku Per Mertesacker akiteuliwa kuwa nahodha Msaidizi.
Mikel Arteta ndo nahodha mpya wa Arsenal
Per Mertesacker amekuwa nahodha msaidizi