Burudani
Baada ya kufungiwa wimbo wao wa Mwanza, Rayvanny na Diamond waachia ngoma nyingine mpya (+audio)
Baada ya misuko suko ya ngoma yao ya Mwanza kufungiwa na BASATA, hatimaye Rayvanny ameachia ngoma nyingine mpya ya TETEMA akiwa tena na Diamond Platnumz .
Mdundo wa mkwaju umegongwa na S2Kizzy kutoka katika studio za Sound From Pluto.