Habari

Bosi wa zamani wa NIDA na wenzake wafutiwa mashtaka

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dickson Ernest Maimu na wenzake wote wamefutiwa mashtaka yao yote baada ya DPP kukosa nia ya kuendelea na kesi yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

Oktoba mwaka jana, Maimu alifutiwa kesi moja ya Utakatishaji Fedha na kusalia na Mashtaka ya Uhujumu Uchumi, kuisababishia Serikali hasara na Matumizi mabaya ya Madaraka

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents