Bongo5 Exclusives

Breaking: Dar Express, Arusha – Dar lateketea kwa moto

Basi la Dar Express likiteketa kwa moto muda mfupi uliopita

Habari zilizotufikia muda mfupi uliopita zinadai kuwa basi la Dar Express lililokuwa linatokea Arusha kuja Dar es Salaam limeteketea lote kwa moto katika eneo la Segera, Tanga.

Inadaiwa kuwa abiria wote wamenusurika lakini mizigo yote imeteketea kwa moto.

“Breaking News!!! Happening n Segera nw, Duh! Wale wa Rombo,mwika, marangu na kilimanjaro kwa ujumla nafikiri hili ni pigo kwetu… Mungu awe ameepusha vifo tu,” ameandika mtu mmoja kupitia Facebook.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents