Burudani

BTS Video: Utengenezwaji wa video za AY alizowashirikisha Sean Kingston na Ms Triniti nchini Marekani

Wakati unajiandaa kupokea video mbili mpya kutoka kwa Ambwene Yessaya alizoshoot nchini Marekani hivi karibuni, tazama yaliyojiri wakati wa utengenezwaji wa video hizo (Behind The Scenes). Moja ya video hizo ni ya wimbo aliomshirikisha Sean Kingston, na nyingine kamshirikisha Ms. Triniti.

http://youtu.be/b4gTyBCGZsI

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents