Burudani

Cassim Mganga apanga kuoa mke wa pili

Hitmaker wa Subira, Cassim Hemedy Mganga amesema anafikiria kuoa mke wa pili.

11078950_1402240830096916_1993740470_n

Akizungumza kwenye kipindi cha Mkasi, Cassim alisema anaamini kuwa Mungu amewataka wanaume kuwahifadhi wanawake kwa kuwaoa. “Natarajia, muislamu mimi, Cassim alijibu kama anataka kuona mke wa pili.

“Nasema haya kwanza ni maamuzi na dini yetu inaheshimu hii sheria. Lakini lazima tuwahifadhi akina mama, tunaruhusiwa na si lazima, unaruhusiwa kama una uwezo wa kuwahudumia.”

Cassim ni baba wa mtoto mmoja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents