Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imemfungia nyota wa Simba, Clatous Chama michezo mitatu na faini ya 500,000 kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi mchezaji wa Ruvu Shooting, Abel Kassim Suleiman.