HabariMichezo

Denis Nkane, Ngushi kutolewa kwa mkopo

#Tetesi Klabu ya Yanga ipo mbioni kuwatoa nyota wake wawili kwa Mkopo Crispin Ngushi pamoja na Dennis Nkane ambao timu nyingi zimeonesha nia za kuwahitaji katika dirisha dogo la usajili.

Mpaka Sasa ina semekana wonder kid Denis Nkane amesha kubariana na klabu ya Dodoma Jiji FC kujiunga nao kwa Mkopo lakini kwa upande wa Ngushi anatakiwa na timu tatu lakini mpaka Sasa hajafanya maamuzi anatua wapi sababu timu Zina shindana dau timu hizo ambazo zinahitaji huduma ya ushambuliaji hiyo ni Mashujaa,Ihefu FC pamoja na JKT Tanzania wote wakimuhitaji mshambuliaji Huyo kujiunga nao.

Credit by Isayah Dede

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents