HabariMichezo

Kama Yanga wamemsajili Simon Msuva wamempa tsh ngapi.?

Klabu ya Wananchi Yanga SC wametoa Siku 7 kupitia Msemaji wao wamesema watamtambulisha mchezaji mmoja ambaye wamewaongeza katika dirisha hili dogo la usajili na watu wengi wakisema ni nyota wa kimataifa wa Tanzania Simon Msuva kuwa tayari amemalizana na Yanga.

Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Simon Msuva baada ya kuzungumza nae na kutaka kufaham kama kajiunga na Yanga je ni kweli kajiunga na Yanga?? akanijibu kadika dirisha kubwa la usajili Simba SC ilimuwekea Msuva million 700 mezani na Mshambuliaji Huyo akazikataa na baadae kupata dili la kucheza JS Kabyle.

Je kama kweli Yanga wamempata Simon Msuva je watakuwa wamempa sh ngapi mpaka kujiunga na Wananchi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents