Diamond Platnumz

Diamond aelezea jinsi video yake ilivyovuja + screen shots 20 bora za video hiyo

16

Diamond Platnumz amesema kuwa video yake mpya ya ‘Kesho’ iliyofanyika nchini Kenya imetoka mtandaoni kimakosa.

Akiongea na kipindi cha Power Jams leo, Diamond amesema Ogopa Djs waliofanya video hiyo waliiupload kwenye mtandao wa Youtube ili wamtumie link Diamond na uongozi wake waione kama iko sawa ili wakabidhiwe.

Amesema aligundua kuwa kuna kosa katika title ya producer ambayo imeandikwa ‘Wasafi Entertainment’ badala ya Marco Chali na akawataka wabalishe. Hata hivyo Ogopa walisema wasingeweza kuitoa hiyo ya kwenye Youtube kwa kudai kuwa wangepoteza viewers ila watabadilisha version ya kusambaza kwenye TV.

Hata hivyo Diamond hakukubaliana na wazo hilo na kusisitiza kuwa waiondoe kwanza kwenye mtandao na ndipo Ogopa waliitoa japo walikuwa wameshachelewa kwakuwa kuna watu walikuwa wameidownload tayari na kuiupload kwenye akaunti zao.

Amesema video yenyewe itatoka rasmi Ijumaa hii na bado yeye na uongozi wake wapo kwenye mazungumzo ya iwapo audio yake itoke sasa ama baadaye.

Wakati huo hizi ni screen shots 20 bora za video hiyo kwa mujibu wa Bongo5, enjoy.

Party baada ya wazazi kumkubai mchumba wa Diamond
Party baada ya wazazi kumkubai mchumba wa Diamond
Bata
Bata
Bata likiendelea
Bata likiendelea

17

11

She is hot  au sio?
She is hot au sio?
Diamond akienda kumtambulisha Avril kwao
Diamond akienda kumtambulisha Avril kwao
Diamond akiwa na wazazi wake kumtambulisha Avril
Diamond akiwa na wazazi wake kumtambulisha Avril
Poker
Poker

9

8

Naj (katikati) na Colonel Mustapha (kulia)
Naj (katikati) na Colonel Mustapha (kulia)

6

This chick is hot
This chick is hot
Diamond akimwangalia Avril akijaribisha nguo
Diamond akimwangalia Avril akijaribisha nguo

3

Diamond na Avril wakifanya shopping
Diamond na Avril wakifanya shopping
Poker
Poker

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents