Diamond Platnumz

Diamond aingia mkataba mnono wa RBT na Vodacom, Number 1 yafikisha views 188,000 kwa wiki, Mungu ampe nini zaidi?

Diamond Platnumz ataendelea kuwa ‘diamond’ kila jua limazapo. Ana kila sababu ya kusherehekea mafanikio yake kwakuwa muziki unamlipa hasa.

49931a4a1af611e3aec722000ae900e0_7
Picha zinazomuonesha Diamond akisaini mkataba na Vodacom leo

Leo superstar huyo ameingia mkataba mnono na exclusive na kampuni ya simu ya Vodacom, ambapo wimbo wake ‘Number 1’ utakuwa ukiuzwa na kampuni hiyo pekee kama muito wa simu, Ring Back Tone (RBT).

Wakati huo huo video ya wimbo huo leo imefikisha idadi ya zaidi ya hits 188,000 kwenye mtandao wa Youtube.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents