Diamond Platnumz

Diamond na Ommy Dimpoz kesho kuchuana na Sauti Sol, Bebe Cool kwenye #HiPipoMusicAwards za Uganda

Tuzo za muziki za nchini Uganda, HiPipo Music Awards zitafanyika Jumamosi hii jijini Kampala, Uganda.

10968471_10155739051432355_213819543918865476_n

Katika tuzo hizo, Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz wanawania kipengele cha wimbo bora wa Afrika Mashariki.

Wawili hao wanachuana na nguli wengine wa muziki kutoka Kenya, Uganda na Rwanda.

Hizi ndio nyimbo zinazowania kipengele cha wimbo bora wa Afrika Mashariki:

• Tayali – Urban Boys Ft Iyanya
• Sitya Loss – Eddy Kenzo
• Ndagushima – Ommy Dimpoz
• Number One – Diamond Platnumz
• Nishike (Touch Me) – Sauti Sol
• Love You Everyday – Bebe Cool
• Kioo – Jaguar
• Baramushaka – Knowless

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents