Burudani

Dj Khaled adai video yake mpya ni kama filamu

Dj Khaled ameifananisha video yake mpya ya wimbo wa ‘Nas Album Done’ aliomshirikisha Nas ambayo anatarajia kuiachia Ijumaa hii kuwa ni kama filamu ndogo.

nas-dj-khaled-video

Kupitia mtandao wake wa Instagram, msanii huyo ameandika, “trailer for ..NAS ALBUM DONE!! Short Film!! Staring DJ Khaled x Nas x OX! This is not a regular Video!! This is a mini movie!! Get your popcorn ready ????????@bet jams video world premiere this Friday starting at 6am!!.”

“Every hour on the hour! Also BET Jam Of The Week every hour on the hour!! @wethebestmusic @epicrecords Dir by Dj Khaled and @eifrivera .. Special thanks to the island of Nassau Bahammas ???????????????????????? @djkhaled @nas @louieoxrankin #MAJOR????@wethebestmusic @epicrecords ???????????????????? so u know I will never stop! ????????????????????.”

Video hiyo inatarajiwa kuonyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye channel ya BET lakini pia wimbo huo unapatikana kwenye albamu mpya ya Dj Khaled, Major Key yenye nyimbo 14.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents