Moja ya tukio lililowagusa wengi ni hili la staa wa muziki Drake Wakati wa tamasha lake huko Nashville nchini Marekani alionyesha kuguswa na bango la shabiki liliyoonyesha kwamba alikuwa anahitaji matibabu ya saratani ya matiti.
Baada ya Drake kuliona Bango hilo ilimlazimu alichukue lile Bango na kuongea machache halafu baada ya hapo akamwambia shabiki yake kuwa atatoe kiasi cha $100,000 kwa shabiki huyo!
Mchango huo haukuwa tu kama msaada wa kifedha lakini pia kama ishara ya mshikamano na Upendo kwa kutia moyo na kuwasaidia wasiojiweza lakini pia kurudisha tabasamu upya kwa shabiki yake aliyelipia pesa kuangalia ahow yake.
Dola 100,000 ni sawa na Tsh milioni 258.
Link bofya hapa
https://www.instagram.com/reel/C3HPxBnN-fu/?igsh=MTlsZXJtNHNidDZ3dA==