Burudani

Falz na Simi waachia EP ya pamoja ‘Chemistry’

Waimbaji wa Nigeria, Folarin Falana maarufu kama Falz na Simisola Bolatito Ogunleye, wameachia EP yao iitwayo Chemistry.

14624451_274176559644501_3202520593073176576_n

Wawili hao wamekuwa karibu kwa muda sasa ambapo Simi alimshirikisha Falz kwenye wimbo wake Jamb Question. Pia Falz alimshirikisha Simi kwenye wimbo wake Soldier kutoka kwenye album yake, Stories That Touch.

14712339_382542278803205_2936770956217024512_n

Falz na Simi kwa muda wamekuwa wakihusishwa kuwa wapenzi lakini hawajahi kuthibitisha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents