Burudani
Feza Kessy na Macky2 wa Zambia warekodi ngoma pamoja
Feza Kessy na mwakilishi wa Zambia kwenye shindano la Big Brother Africa Hotshots, rapper Macky2 huenda wamerekodi ngoma pamoja.
Feza alikuwa jijini Lusaka, Zambia hivi karibuni japo hakusema alienda kwaajili gani. Macky2 amepost picha inayoonekana kuwa ni kava ya wimbo akiwa na Feza.
“Such a hard worker Macky2 is. God bless your hustle bruv #OG #Kopala #TheyGoKnow #Zambia #Tanzania #OneLove,” ameandika Feza.