Burudani

Fuse ODG na Tiwa Savage wathibitisha kufanya wimbo wa pamoja

Msanii wa Uingereza mwenye asili ya Ghana, Fuse ODG na Tiwa Savage wamethibitisha kuwa tayari wameshafanya ngoma ya pamoja.

fuse-odg

Fuse ODG ni hitmaker wa nyimbo kadhaa ikiwemo Azonto na Antenna lakini pia aliwahi kuja nchi Tanzania na kufanya show kwenye viwanja vya Ustawi wa Jamii, Agosti 28 mwaka 2013.

Kupitia mtandao wa Instagram, Tiwa Savage ameandika, “@fuseodg X Tiwa Savage … This is about to cause a problem ???????? #TINA.”

“Video Shoot wrapped @TiwaSavage ????????Ghana meets Nigeria vibes,” ameandika Fuse ODG kwenye mtandao huo.

Lakini inawezekana wimbo huo walirekodi ni remix ya wimbo wa Fuse ODG, ambao orijino yake unajulikana kama Tina uliotoka mwaka jana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents