Burudani

Future azungumzia kuvunjika uchumba wake na Ciara na kufananishwa na Desiigner

Rapper Future amekava kwa mara ya kwanza jarida maarufu la Rolling Stone na kuelezea mambo kibao yakiwemo kuvunjika kwa uchumba wake Ciara na jinsi hitmaker wa Panda, Desiigner anavyoimba kama yeye.

future-rolling-stone

Kuhusu kufananishwa na Desiigner, Future alijibu kwa ufupi sana lakini jibu lilionesha wazi kuwa hamwelewi na hataki kabisa hata kumsikia msanii huyo.

“Huwa siogopeshwi na mtu yeyote,” alisema. “Sitaki hata jina lake liwemo kwenye makala hii.” Kuhusu kuvunjika kwa uchumba wake na Ciara:

Nilikuwa naogopa kinoma. Nilikuwa nimebakiza hatua moja tu kuoa na nilijihisi kuwa nimefeli kwenye umma katika mahusiano. Kisha unataka kurudi kufanya muziki, kujua unachojua. Na kama watu hawatokubali tena kitu kimoja unachojisikia ni kuwa unaweza kubwaga manyanga lakini inaondoka na unajisikia kuwa yamekwisha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents