Mahojiano

G Nako kuhusu kauli ya Linex kwamba Bongo Fleva inaelekea pabaya (+ Video)

Mbali na hilo @gnakowarawara akiongea na wana habari ameeleza namna muziki wa Bongo Fleva unavyoshika kasi duniani.

@gnakowarawara alijibu swali la mwandishi alipoulizwa kuhusu kauli ya msanii mwenzake @linexsundaymjeda ambaye aliitoa kupitia Instagram yake na kusema kuwa muziki ni kama chakula kila mtu anachagua ale chakula cha aina gani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents