Burudani

Gigy Money aingilia kati ugomvi wa Alikiba na Shilole (+ Video)

Kila mmoja anajua kinachoendelea mitandaoni kati ya Alikiba na Shilole baada ya Kiba kusema hakumualika Shilole kwenye uzinduzi wa Album yake.


Shilole hakukaa kimya alikuja juun a kuhoji kwanini Alikiba anasema hivyo haliyakuwa alimpost kwenye page yake ya Instagram.

Mmoja wa mastaa wa Bongo Fleva Gigy Money hajakaa kimya amekuja mitandaoni na kutoa maoni yake kuhusu hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents