Habari

Gwajima aliamsha dude kanisani, Askofu Kakobe ahoji kuhusu video ya ngono ‘Kwanini sura ya mwanamke imefichwa?

Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima leo Mei 12, 2019 amefanya ibada maalumu ya kumshushia moto mtu ambaye ametengeneza video ya ngono na kuweka sura yake kwenye uchafu huo ili8 kumuharibia jina lake.

Kwenye Ibada hiyo, ilihudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Kanisa la FGBF, Zachary Kakobe ambaye yeye alidai kuwa video hiyo ya ngono ni FEKI kwa kuhoji kuwa kwanini? sura ya mwanamke haijaonekana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents