Habari

Haji Manara Mwanafamilia Mpya wa Parimatch

Leo kampuni ya michezo ya kubashiri Parimatch Tanzania imemtambulisha rasmi Haji Sunday Manara ‘El Bugati’ @hajimanara kama balozi mpya wa kampuni hiyo ambapo Manara utaendeleza kusherehesha burudani inayoambatana na ushindi mkubwa kutoka Parimatch

Akizungumza ma waandishi wa habari Afisa Masoko wa kampuni hiyo Levis Poul amesema “ujio wa Manara kwetu umekuwa mzuri kwani kwa sasa Parimatch ndio kampuni namba moja ya kubashiri ikiwa na ofa za kijanja na tovuti yenye muonekano mzuri, kasi kubwa huku ikiwa inatumia uwezo mdogo wa intaneti na kama hiyo haitoshi pia wateja wetu wataweza kushea mikeka yao kwa marafiki ili nao waweze kupata burudani kutoka Parimatch”

Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongo5

Written and edited by @abbrah255 and @el_mando_tz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents