Bongo Movie

Hemedy aalikwa kufanya filamu na mastaa wa Zambia kumuenzi Kanumba

Msanii wa filamu Hemedy Suleiman aka PHD amealikwa kufanya filamu iitwayo ‘Tangled Mess’ na mastaa wa Zambia akiwemo shiriki wa BBA 8, Sulu Banda,mwanamuziki mkongwe wa Zambia Moureen Lilanda na Dj mkongwe wa Zambia DJ Yahya Kiba kwaajili ya kumuenzi Kanumba.

Cassie
Hemedy akiwa na balozi Tanzania nchini Zambia pamoja na wadau wengine

Hemedy alikuwa mjini Lusaka December 6 mwaka huu kufanya filamu hiyo na kufanikiwa kwenda kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Zambia.

Hemed n the TZ High Commissioner in Zambia
Hemedy akiwa na balozi wa Tanzania nchini Zambia

k

Source:majoy

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents