Michezo
Historia ya Simba SC itawahukumu Waarabu leo – John Bocco (+video)
Nahodha wa klabu ya Simba, John Bocco amesema kuwa timu yao ipo vizuri na historia yake katika mashindano ya kimataifa inawabeba hivyo wataifunga Al – Masry katika mchezo wao wa leo wa kombe la Shirikisho Afrika.