Bongo Movie

Hoteli ya Majini yatua Zanzibar

Chuw_na_malika_face

MWIGIZAJI Chuw Omari anatarajia kuachia filamu ya Hoteli yenye majini kupitia kampuni ya Mura film Production, ambao imefanya katika jiji la Dar es salam na Zanzibar ambayo mwenyewe anaamini itakuwa funga kazi. anasema filamu hiyo itakuwa ya aina yake kutokana na mautundu ambayo ameyafanya katika kazi hiyo.


Chuw alisema katika filamu hiyo pia kutakuwa na waigizaji wengine, kama Baba Haji, Thea, na wengine wengi
Chuw

Chuw Omari akiigiza kama Jini, na ndiye mtuzi wa filamu hiyo.
Chuw__Malika
Malika akiwa kama jini katika filamu hiyo, ambayo itakuwa gumzo kutokana na maandalizia yake.
Chuw_na_mfalme
Mzee Jujuman akiigiza kama mkubwa wa majini, ama mfalme wa majini katika filamu hiyo
Chu_video
Hapa kazi ilikuwa ikiendelea, mzigo ukikomaa kimtindo huu.
Chuw_nyoka
Katika filamu ya Hoteli ya Majini ikafika kipindi bwana mkubwa Nyoka na yeye kuparty, mbona ilikuwa raha maana kila mtu alijua njia yake. lakini hapa ilikuwa na mwenyewe ambaye alimchezea kwa kila mtindo.
Chuw_naa_nyoka
Kasheshe ikaja pale ilipofika zamu ya kuchukua nafasi yake mdudu huyu wanayemwita nyoka, ndani tukabaki mimi, mpiga picha mmiliki nyoka na Direct wengine wote wakasema maana ilikuwa kizazaa, wengine tukanasa juu ya viti.

Chuw_mpiga_picha
Kila mtu na kipaji cha, hiii niliipenda sana kutoka kwa mchukua video wa Faraji Nguroka, safi sana kaka ni mladi tutafute video nzuri.
Chuw_mafuvu
Wanasema ukiona manyoya ujue………… na ukiona mafuvu ujue………………..

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents