Burudani

Irene Uwoya atamba kuishi kistaa ‘Bila tsh milioni 1 ya matumizi sitoki nyumbani’ (Video)

Je ni kiwango gani kikubwa cha pesa huwa unatumia kwa starehe ukiwa kwenye mitoko yako ya starehe?. Irene Uwoya kutoka kwenye tasnia ya filamu, amedai kwamba hawezi kutoka nyumbani bila tsh milioni moja ya matumizi.

Akiongea na Bongo5 wiki hii akiwa katika Dinner ya Waandishi wa Habari iliyoandaliwa na Swahiliflix, Irene Uwoya amefunguka mambo mengi kuhusu maisha yake pamoja na biashara anazozifanya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents