Burudani

Je ni kweli maprodyuza wapya Bongo ni beat maker? Lamar ajibu

Producer ametoa ufafanuzi kauli kuwa baadhi ya prodyuza wa sasa ni beat maker tu.

“Yeah ni kweli beat maker wapo unajua kipindi cha nyuma watu walikuwa wana hustler kusoma zile fundamental za muziki, theory na practical watu wanaenda online wanaangalia jinsi ya kufanya vitu wanaenda shule, unakuta watu pia wana certificate za chuo” Lamar ameambia Bongo.

“Lakini sasa hivi mtu akiwa na laptop na yeye anatengeneza beat anasema ni prodyuza wakati kumix hawezi, kufanya mastering hawezi katika kiwango kile ambacho kinatakiwa” amesema.

Hata hivyo ameongeza kuwa katika media hamna kitu ambacho kinaweza kuchuja muziki ukoje ile kupata kitu kizuri hali ambayo inapelekea uwepo wa muziki ambao siyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents