Michezo

Jiji la Dar kwenye post ya Real Madrid

Katika majiji 24 ambayo yalipostiwa na klabu yaย @realmadridย Kupitia Insta stori ya ni jiji la Dar Es Salaam ambapo walikuwa wanawataarifu mashabiki wa klabu hiyo wanauoishi katika jiji hili ni muda gani watacheza game yao ya jana dhidi ya Ragers ya Steven Gerrard ambaye ni kocha.

Katika Mchezo huo Real Madrid walipoteza kwa kufungwa goli 2-1 ambapo mchezo ulifanyika Glasgow Scotland

Hayo ni majiji ambayo walionelewa kuwa ni muhimu kuandikwa na kuwataarifu mashabiki kuwa muda sahihi wa game.

Haya sasa wale wa DAR mnajionaje na hali…! Inamaana mtu kama Ronaldo, Benzema na wengine wali view ila post licha ya kuwa amehama Madrid lakini kai follow..! kwahiyo kumbe Ronaldo na wengine wanaitabua Dar ๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡

Kwa maana hiyo siku ukienda Madrid ukisema natoka Dar watakutambua ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents