Burudani

Jinsia ya Mtoto wa Marioo na Paula yaanikwa (Video)

Mwanamuziki Marioo na mpenzi wake Paula Kajala wanatarajia kupata mtoto wa Kike, Jinsia ya mtoto imewekwa wazi kwenye ufichuzi wa jinsia uliofanyika leo.

Hata hivyo wawili hao waliweka wazi kutarajia mtoto siku tano zilizopita fatica kurasa zao za mitandao ya Kijamii kwa Kuchapisha video ikiambatana na Ujumbe uliokuwa ukieleza kuwa wanatarajia kuongeza mwanafamilia mpya hivi karibuni.

 

Video kamili bonyeza link hapa chini:

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents