Burudani

P Funk amchana Marioo juu ya Mahusiano na Paula (Video)

P Funk ametoa nasaha kwa vijana wake Marioo na Paula kuwataka wakaishi kwa Upendo na wadumu kwenye ndoa.

P Funk ametoa kauli hiyo jana April 17, 2024 kwenye Baby Shower ya binti yake huyo ambaye anatarajia kujifungua hivi karibuni.

Akimuelekeza Marioo P Funk alimwambia awe Baba Bora.

“Omari (Marioo) ninakuombea uwe Baba Bora na uwe mume bora muweze kudumu kwenye ndoa yenu kama ilivyo yangu ina miaka 14 hivi sasa” alisema P Funk.

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents