Michezo

Hasheem Ibwe atamba kuchomoa Mastaa Wanne Simba na Yanga Dirisha Kubwa la Usajili

Kupitia Afisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe, ameeleza kuwa msimu ujao wanatarajia kuwa na wachezaji wanne kutoa Simba na Yanga kwaajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho ambacho anaamini kitashiriki michuano ya klabu bingwa Afrika.

Ibwe ameweka wazi kuwa tayari wametuma ofa kwa mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize na bado wanaendelea kutuma ofa kwa wachezaji wengine na wanaamini kama ofa hizo zitapokelewa basi msimu ujao kuna wachezaji wawili wa kigeni na wawili wa nyumbani kutoka vilabu hivyo wataitumikia Azam FC.

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents