Habari

Watumishi wanaojitolea kuanza Kulipwa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene amesema suala la kujitolea kwa watumishi linahitaji kufikiriwa ambapo Serikali imeandaa mwongozo wa Watumishi wanaojitolea kuanza Kulipwa.

Simbachawene amesema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati akijibu hoja ya Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichwale aliyeitaka Serikali kuandika waraka kwa Halmashauri nchini kutenga fungu la kuwalipa watumishi wanaojitolea.

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents