Burudani

Kajala amuomba radhi P Funk (Video)

Muigizaji Kajala Masanja amemuomba radhi mzazi mwenzie P Funk Majani kwa kuwa mara kadhaa amekuwa akimkosea kwa kufanya mambo yaliyomuudhi.

 

Kajala ametoa Kauli hiyo kwenye shughuli ya Baby Shower ya Binti yake Paula.

“Nitumie Nafasi his kumuomba radhi Paula nimekuwa nikimkosea mara kwa mara na kweli mtu ambaye amekuwa akinisaidia sana kwenye jambo lolote la kunihusisha mimi na Paula ni Samira ambaye ni mke wa P Funk,” alisema Kajala.

 

 

 

Kuona video kamili bonyeza Link hapo chini:

 

 

 

 

 

 

 

 

Imendikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents