Burudani
Zawadi ya Marioo kwa Paula yazua mtafaruku (Video)
Baadhi ya mastaa kwenye tukio la Baby Shower la Marioo na Mpenzi wake Paula.
Jionee na namna Marioo na Paula walivoingia kwenye baby shower ya mtoto wao leo na kumzawadia Paula zawadi ya Gari.
Via Efm.
Credit; El_mando_tz.
Imeandikwa na Mbanga B.