Burudani

Karrueche Tran asema habari ya Chris Brown kuwa na mtoto aliipata mtandaoni kama watu wengine

Aliyekuwa girlfriend wa muimbaji wa R&B Chris Brown, Karrueche Tran amesema kuwa hata yeye habari ya kuhusu Breezy kuwa na mtoto aliifahamu kupitia mtandaoni kama watu wengine.

Tran

Tran amesema kuwa baada ya TMZ kuiweka habari hiyo ndipo alimpigia Breezy kuthibitisha juu ya habari hiyo, na kuamua kuvunja moja kwa moja uhusiano wao uliodumu kwa miaka minne ya kuachana na kurudiana.

“When it hit TMZ, I was like oh? OK! I called him, I cussed him out and I was like ‘I’m done’. You know, after the whole Rihanna thing…Its been like a year or whatever…we’ve been trying to fix what was broken and the baby was just the icing on the cake so I just had to just completely break it off.” alisema Tran.

Kuthibitisha kuwa yeye na Chris ni historia, Karrueche aliongeza kuwa kwa sasa yupo single kwa asilimia mia moja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents