Kitime atoa mtazamo tofauti kuhusu wasanii kutoa nyimbo zisizo na maadili (Video)

Msanii mkongwe wa muziki na mdau, John Kitime amefunguka kuzungumzia sakata la maadili kwa wasanii ambapo amedai wasanii wanaimba nyimbo ambazo zinadaiwa hazina maadili kwa sababu jamiii ndio inataka mambo ya ovyo.

“Ndio maana wanafanya vizuri na kazi zao zinauzwa, akitoa wimbo kesho utasikia ana views milioni 10 ni kwasababu ile jamii inayomzunguka, katoka kule” alisema John Kitime

Written and edited by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button