Kiuno viuno kukamua Travertine

Image
Msanii kutoka Mombasa mwenye CV nzuri yanapokuja maswala ya kuzungusha nyonga, Fifi Moto, atakuwepo kwenye onyesho kabambe la taarab litakalofanyika Januari 24 kwenye hoteli ya Travertine na kushirikisha magwiji wa Taarab Afrika Mashariki wakiwemo Jahazi Modern Taarab na Malkia Khadija Kopa. Tamasha hilo limepewa jina la Pati kali la kufungua 2010

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents