Umbea

Kubusiana hivi kwa wasichana inatokana na urafiki, mapenzi, furaha ama kitu gani??


Pichani ni Miss Dar Inter College 2012 Hilda Edward ‘akipongezwa’ na Miss Dar Inter College aliyevua taji Blessing Ngowi baada ya kushinda kwenye shindano hilo juzi jijini Dar es Salaam.

Hiyo style ya kubusiana mmmhhh…wadau mnaionaje??

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents