Burudani

Lady Jaydee ashinda ya tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka Afrika Mashariki, ‘Yahaya’ kwenye Bingwa Music Awards -Kenya

Wiki iliyopita zimetolewa tuzo za Bingwa Music Awards nchini Kenya, na Lady Jaydee ndiye msanii pekee wa Tanzania aliyeondoka na tuzo.

Lady Jaydee
Lady Jaydee

Wimbo wa ‘Yahaya’ wa Lady Jaydee ulichaguliwa kuwa Wimbo Bora wa Afrika Mashariki.

bingwamainlogo

Hii ni orodha kamili ya washindi wa tuzo hizo:

Artist of the Year – Kenrazy

Showbiz Personality of the Year – Churchill

New DJ of the Year – DJ Slim 254

Best Video of the year – Sura Yako by Sauti Sol

Video DIrector of the Year – Young Wallace

Come Back of the Year – Nameless

Song of the Year – Kioo by Jaguar

East African Song of the Year – Yahaya by Lady Jay Dee

East Africat Artiste of the Year – Chameleone

DJ of the Year – DJ Joe Mfalme

MC East African – DNG

Collabo of the Year – Tam Tam by Size 8 and Willy Paul

Legendary Awards – Jimmy Gathu

Song Writer of the Year – Amileena for Nona Bado

Ever Relevant Male Artiste of the Year – Wyre

Ever Relevant Female Artiste of the Year – Avril

Source: Capitalfm.co.ke

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents