Michezo

Lawrence Okolie aahidi kumzimisha Chamberlain usiku wa Jumamosi

Kuelekea pambano la masumbwi hapo kesho siku ya Jumamosi, bondia Lawrence Okolie amemuonya mpinzani wake Isaac Chamberlain kuwa atarajie kupata maumivu makali kunako ulingo.

Lawrence Okolie na Isaac Chamberlain wanatarajiwa kuingia ulingoni usiku wa Jumamosi hii katika uwanja wa The O2 nchini Uingereza.

Kwa upande wake Chamberlain ameahidi ushindi kwa gharama yoyote dhidi ya bondia huyo hasiye pigika huku Okolie akisisitiza kumchakaza wikiendi hii.

Pambano hilo linalo simamiwa na promota maarufu nchini Uingereza, Eddie Hearn’s Matchroom Boxing kwa kushirikiana na Anthony Joshua’s AJ BXNG unaweza kujipatia bei ya tiketi yako HAPA.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents