Mahojiano

“Licha ya kuwavalisha Diamond na Alikiba, lengo langu ni kuwavalisha Beyonce na Jenifer Lopez hata niwapelekee hereni tu” – Noel Disigner (+ Vide)

"Licha ya kuwavalisha Diamond na Alikiba, lengo langu ni kuwavalisha Beyonce na Jenifer Lopez hata niwapelekee hereni tu" - Noel Disigner (+ Vide)

Mbunifu wa mavazi @noelgiotz ameeleza kwa undani kinachomsaidia kufanya kazi na @officialalikiba na @diamondplatnumz kwa wakati mmoja na wao kumuanini licha ya kuwa karibu na wote.


Noel ameongeza huwa anapokea meseji nyingi sana watu wakimlaumu kuwa kuna upande anapendelea kuliko kwingine na kuongea kuwa yeye huwa anafanya nao kazi kutokana na mahitaji ya kila mtu “Watu wasipende kuweka personal issue zao ikifika kwa mmoja wewe fanya kazi usiingiza vitu vyako binafsi.

@noelgiotz ameongeza kuwa ana matarajio makubwa sana ya kuipeleka tasnia ya uvalishaji kimataifa kwa ndoto zake ni kufanya kazi na wasanii kama @beyonce na @jlo Naamini bado sijafikia malengo yangu, natamani siku moja nifanye kazi na Beyonce au Jenifer Lopez, Yaani sio kuwavalisha hata nimepelekee hereni watu watanitambua “

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents