Michezo
Lionel Messi afanya mazoezi ya hatari (+Video)
Lionel Messi afanya mazoezi ya hatari (+Video)
Wakati baadhi ya wachezaji wa Barcelona wakiwa tayari wamerejea na kujiunga na klabu hiyo nyota wao Lionel Messi ameonekana akifanya mazoezi ya hatari na mbwa wake wakati akiwa nyumbani kwake.
Kufuatia ushiriki wake kwenye michuano ya kombe la dunia nyota huyo wa Argentina, Messi amepatiwa muda wa kupumzika kabla ya kujiunga tena na Barcelona hivyo kutumia muda huo kufanya mazoezi akiwa peke yake.
Kutokana na video aliyoposti mke wake, Antonella Roccuzzo kupitia mtandao wake wa Instagram inamuonyesha Messi akifanya mazoezi mepesi na mbwa.
Aaaah
LA purgaaa
Noma
Chizi kalogwa tena
Hatariiiii snaaaa
Kama simba kabisa
GOAT🐐
kwr messi nom à xan2
kwr messi nom à xan2