Michezo

#LIVE: Simba SC wsatua Dar na kombe la FA, mapokezi balaa (+Video)

Mabingwa wa michuano ya kombe la Azam Sports Federation Cup, Simba SC wametua Dar es Salaam na ubingwa wao wakitokea Kigoma ambapo ndipo fainali ya mchezo huo ilipo;pigwa dhidi ya watani wao Yanga na kuibuka na ushindi wa goli 1 -0, likifungwa na Taddeo Lwanga dakika ya 80.

Kuangalia video bofya HAPA

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents