Bongo Movie

Lulu, Dude na mshindi wa TMT ‘Isarito’ kuachia filamu iitwayo ‘Kinoma’

Msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’, Dude pamoja na mshindi wa shindano la Tanzania Movie Talents, ‘Isarito’ wanajipanga kuachia filamu iitwayo Kimona ambayo itatoka katikati ya mwezi wa saba.
Lulu, Dude na

Filamu hiyo inasimamiwa na kampuni ya kusambaza filamu nchini Proin Promotions.

Mmoja kati ya washiriki wa filamu hiyo, Isarito kupitia ukurasa wake wa instagram aliandika:

Kinoma itatoka tarehe 15 mwezi wa saba huu mzigo wa watu wazito utakuwa unaachiwa na utapata fursa yakuuwon nn tumefanya yan kazi ni ninoma kama jina lenyewe lisemavo NINOMA toka kampuni kubwa ya @proinpromotions1.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents